Duthak
From Wikipedia, the free encyclopedia
Duthak (pia: Duthac, Duthus; 1000 - 1050[1]) anakumbukwa kama askofu wa Ross, Uskoti[2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Leo XIII tarehe 20 Desemba 1888[3].
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.