EPMD

From Wikipedia, the free encyclopedia

EPMD
Remove ads

EPMD ni kundi la muziki wa hip hop kutoka mjini Brentwood, New York huko nchini Marekani. Jina la kundi ni vifupisho vya majina ya wanachama wake ambapo "E" na "PMD" au kwa kirefu chake cha "Erick na Parrish Making Dollars" (baadaye "Erick na Parrish Millennium Ducats"), inataja wanachama wake, maemcee Erick Sermon ("E") na Parrish Smith ("PMD").

Ukweli wa haraka Maelezo ya awali, Asili yake ...

Kundi limekuwa likifanyakazi kwa takriban miaka 20 hivi (1986–mpaka sasa),na ni moja kati ya makundi mashuhuri kwa upande wa East coast hip hop. Diamond J, DJ K La Boss, na DJ Scratch walipata kuwa Ma-DJ kwa ajili ya kundi hili.[1]

Neno la "business" linatumika katika jina la toleo la albamu ya kundi hili. Kila albamu pia ina wimbo wenye jina la "Jane".

Remove ads

Albamu walizotoa

Maelezo zaidi Mwaka, Albamu ...

Marejeo

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads