Echoing Angels

From Wikipedia, the free encyclopedia

Echoing Angels
Remove ads

Echoing Angels ni kundi la kuimba nyimbo za Kikristo kutoka Atlanta,Georgia.

Ukweli wa haraka Maelezo ya awali, Aina ya muziki ...

Historia Bendi,hapo awali, liliundwa na Yos Armour na mpigaji ngoma John Poole chini ya jina Two Bare Feetkatika mwaka wa 1999.[1] [1] Walikuwa wakifanya kazi ya muziki ya kujitegemea kwa miaka kadhaa ndipo wimbo wao mmoja You Alone ulianza kuchezwa na stesheni za redio za Atlanta. Kikundi ,kisha,walipiga saini mkataba na studio ya Ino Records, shirika dogo la Columbia Records, na kubadili jina yao likawa Echoing Angels kutokana na masuala ya kisheria.[1] The group then signed to INO Records, a subsidiary of Columbia Records, and changed their name to Echoing Angels due to copyright issues.[1] [3] Albamu yao ya 2007, You Alone, ilipata kushika nafasi ya # 19 kwenye chati ya Billboard 's Top Heatseekers na # 26 katika chati ya Top Christian Albums.[2] [4]

Remove ads

Wanachama

  • John Poole - mchezaji ngoma
  • Josh Armour - mchezaji gitaa ya aina ya bass
  • Trey Heffinger - mwimbaji (tangu Februari 2008)
  • Shannon Cochran - mchezaji gitaa
  • Jared Lee - mchezaji gitaa
  • Jeffery Box - mwimbaji,mchezaji piano

Diskografia

  • Demo EP (2004)
  • You Alone(albamu) (INO Records/Columbia Records, 2007)

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads