Edward Muungamaji
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Edward Muungamadini (kwa Kiingereza: Edward the Confessor; takriban 1003 – 5 Januari 1066) alikuwa mfalme wa Uingereza kuanzia mwaka 1042 hadi kifo chake.

Kama mfalme hakuwa na nguvu ya kutawala lakini maisha yake ya Kikristo yalikuwa mfano mwema kabisa. Alipendwa sana na raia zake kwa upendo aliokuwa nao, alidumisha amani nchini akastawisha ushirika na Kanisa la Roma[1].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Marejeo ya lugha nyingine
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads