El Djem

From Wikipedia, the free encyclopedia

El Djem
Remove ads

El Djem ni mji wa wilaya ya Mahdia huko Tunisia.

Thumb
Mandhari yake.

Mwaka 2014 ulikuwa na idadi ya wakazi takribani 21,234 [1].

Magofu yake yameorodheshwa na UNESCO kama Urithi wa Dunia.

Tazama pia

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads