Elsavado
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Elsavado ni nchi ndogo kuliko zote za Amerika ya Kati, lakini yenye msongamano mkubwa zaidi, ikiwa na wakazi 6,290,420 katika km2 21,040.

Remove ads
Jina
Jina la nchi kwa Kihispania linamaanisha "Mwokozi" kwa heshima ya Yesu Kristo, ambaye wananchi wengi ni wafuasi wake katika Kanisa Katoliki (47%) au katika madhehebu mbalimbali ya Uprotestanti (33%).
Watu
Wananchi wengi ni machotara Wazungu-Waindio (86%) au Wazungu (12%) na wanazungumza Kihispania, ambacho ndicho lugha rasmi na ya kawaida.
Tazama pia
| Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika ya Kati bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Elsavado kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads

