Elias Canetti

From Wikipedia, the free encyclopedia

Elias Canetti
Remove ads

Elias Canetti (25 Julai 190514 Agosti 1994) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Bulgaria. Baadaye aliishi nchini Uingereza.

Thumb
Thumb
Elias Canetti.
Thumb
Kaburi la Elias Canetti.

Aliandika riwaya na pia tamthiliya; maandishi yake yote yalikuwa katika lugha ya Kijerumani. Mwaka wa 1981 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Tuzo na Heshima

  • Prix International (France, 1949)
  • Grand Austrian State Prize|Grand Austrian State Prize for Literature (1967)
  • Literature Award of the Bavarian Academy of the Fine Arts (1969)
  • Austrian Decoration for Science and Art (1972)[1]
  • Georg Büchner Prize(German Academy for Language and Literature, 1972)
  • German recording prize, for reading "Ohrenzeuge" (Deutscher Schallplattenpreis) (1975)
  • Nelly Sachs Prize (1975)
  • Gottfried-Keller-Preis (1977)
  • Pour le Mérite (1979)
  • Johann-Peter-Hebel-Preis (Baden-Württemberg, 1980)
  • Nobel Prize in Literature (1981)
  • Franz Kafka Prize[2] (1981)


Remove ads

Tanbihi

{{{reflist}}}

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads