Elias John Kwandikwa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Elias John Kwandikwa alikuwa mwanasiasa Mtanzania, mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Ushetu kwa miaka 2015 – 2020 [1] akarudishwa mwaka 2020 na kuteuliwa kuwa Waziri wa Ulinzi[2].
Alifariki dunia akiwa Dar es Salaam, katika Hospitali ya taifa ya Muhimbili, tarehe 2 Agosti 2021. [3][4]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads