Elijah Muhammad
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Elijah Muhammad (amezaliwa na jina la Elijah Robert Poole; 7 Oktoba, 1897 – 25 Februari, 1975) alikuwa kiongozi wa kidini wa shirika la Nation of Islam (NOI) kuanzia 1934 hadi kifo chake mnamo mwaka wa 1975.
Remove ads
Huyu ndiye mnasihi mkubwa wa Malcolm X, Louis Farrakhan, Muhammad Ali, na mtoto wake Warith Deen Mohammed.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Jisomee
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads