Elpidi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Elpidi alikuwa Mkristo aliyeishi katika mkoa wa Marche, Italia, labda kama mkaapweke katika karne ya 4 akitokea Kapadokia, leo nchini Uturuki.
Alizikwa katika kijiji kilichopewa jina lake (Sant'Elpidio a Mare)[1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake ni tarehe 2 Septemba[2].
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads