Emiliani wa Cogolla
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Emiliani wa Cogolla (La Rioja, 12 Novemba 472 - La Rioja, 11 Juni 573) alikuwa mkaapweke wa Hispania wakati wa utawala wa Wavisigothi.

Miaka arubaini baada ya kuishi hivyo, alipewa upadirisho na parokia lakini mapadri wengine walimuonea kijicho kwa ari yake, hivyo alirudi upwekeni alipoanza kupata wafuasi.
Anakumbukwa pia kwa ukarimu wake kwa maskini na kwa karama ya unabii [1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 12 Novemba[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads