Emma Watson
Mwigizaji na Mwanaharakati wa Uingereza. From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Emma Charlotte Duerre Watson (alizaliwa 15 Aprili 1990) ni mwigizaji, mwanamitindo, na mwanaharakati wa Uingereza.

Anajulikana kutokana na majukumu yake ya kutoa burudani katika Blockbuster na independent films, na pia kwa kazi yake kwenye haki za wanawake. Watson ameorodheshwa kama miongoni mwa waigizaji wanaolipwa pesa nyingi zaidi duniani.[1][2][3]
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads