Emmanuel Papian John
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Emmanuel Papian John (amezaliwa 15 Novemba 1966) ni mwanasiasa mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Kiteto kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads