Epifanio wa Pavia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Epifanio wa Pavia (438-496[1]) alikuwa askofu wa mji huo (Italia) kuanzia mwaka 466 hadi kifo chake[2].

Pamoja na kuongoza vizuri jimbo lake, alifanya kazi ya mpatanishi wakati wa vurugu kubwa zilizosababishwa na uvamizi wa makabila ya Wagermanik nchini Italia [3]. Pia alijitahidi kukomboa waliotekwa na kujenga upya mji ulioteketezwa.[4].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake ni 21 Januari[5].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads