Erasto wa Korintho
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Erasto wa Korintho (kwa Kigiriki: Ἔραστος, Erastos) ni Myahudi wa karne ya 1 mwenye cheo kikubwa kama mtunzahazina wa mji wa Korintho (Ugiriki)[1] anayejulikana hasa kutokana na Matendo ya Mitume (19.22) na Barua za Mtume Paulo (Rom 16:23; 2Tim 4:20) kwa sababu ya kujiunga na Ukristo na kushirikiana naye[2].
Anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali ya Ukristo kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads