Euprepi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Euprepi (pia: Euprepius, Euprepus, Puprepis) alikuwa askofu wa kwanza wa Verona (Italia) kuanzia mwaka 236 hadi 250[1].

Hakuna habari nyingi za hakika kuhusu maisha yake, lakini inaonekana alitokea Mashariki.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Agosti[2].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads