Eupsiki
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Eupsiki (alifariki Kaisarea wa Kapadokia, katika Uturuki ya leo, 362 hivi) alipata kuwa mfiadini wa Kikristo katika dhuluma ya kaisari Juliani Mwasi kutokana na kubomoa hekalu la mungu wa kike Bahati.[1]

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads