9 Aprili
tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tarehe 9 Aprili ni siku ya 99 ya mwaka (ya 100 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 266.
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
- 1555 - Uchaguzi wa Papa Marcello II
Waliozaliwa
- 1458 - Mtakatifu Batista Varano, bikira Mfransisko wa Italia
- 1918 - Jørn Utzon, msanifu majengo kutoka Denmark
- 1987 - Blaise Matuidi, mchezaji mpira wa Ufaransa
Waliofariki
- 715 - Papa Konstantin
- 1024 - Papa Benedikto VIII
- 1557 - Mikael Agricola, mwanateolojia Mfini
- 1945 - Dietrich Bonhoeffer, mwanateolojia nchini Ujerumani, aliuawa na Chama cha Nazi
- 1959 - Frank Lloyd Wright, msanifu majengo kutoka Marekani
- 1988 - Brook Benton, mwanamuziki kutoka Marekani
- 2021
- DMX
- Prince Philip
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Masimo wa Aleksandria, Edesi wa Aleksandria, Dimitri wa Thesalonike, Eupsiki, Libori, Akasi wa Amida, Vatrude, Ugo wa Rouen, Kasilda, Gaukeri n.k.
Viungo vya nje
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 9 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads