Evermodo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Evermodo, O.Prem. (Ubelgiji, 1100 hivi – Ratzeburg, Ujerumani, 17 Februari 1178) alikuwa Mkristo ambaye, baada ya kuguswa na mahubiri ya Norbert wa Xanten, akawa kanoni wa shirika la Premontree aliongozana naye hadi alipofariki dunia.

Baadaye akaongoza na kuanzisha monasteri mbalimbali[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Benedikto XIII mwaka 1728.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Februari[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads