Faza

Kisiwa cha Lamu From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Faza ni kata ya kaunti ya Lamu, eneo bunge la Lamu Mashariki, mashariki mwa Kenya[1].

Historia

Kulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya kaskazini ya Kenya kwenye Bahari ya Hindi.

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads