Kaunti ya Lamu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kaunti ya Lamu ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.
Kaunti ya Lamu ni mojawapo ya kaunti za pwani. Inapakana na Kaunti za Garissa na Tana River. Pia inapakana na Jamuhuri ya Shirikisho la Somalia na Bahari Hindi.
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 893,681 katika eneo la km2 6,253.3, msongamano ukiwa hivyo wa watu 23 kwa kilometa mraba[2]..
Makao makuu yako katika Lamu.
Remove ads
Utawala
Imegawanyika katika maeneo bunge mawili[3]:
Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [4]
- Lamu East 22,258
- Lamu West 121,662
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads