Fearless

From Wikipedia, the free encyclopedia

Fearless
Remove ads

Fearless ni albamu ya pili ya msanii wa muziki wa country-pop wa Kimarekani, Taylor Swift. Albamu ilitolewa mnamo tar. 11 Novemba 2008 kupitia studio ya Big Machine Records. Albamu ilianza kushika nafasi ya kwanza katika chati za Billboard 200 huko nchini Marekani. Albamu iliuza kopi 592,304 katika wiki ya kwanza, na kuifanya iwe albamu iliyouza vizuri katika wiki ya kwanza kwa mwaka wa 2008 kwa msanii wa kike.

Ukweli wa haraka Studio album ya Taylor Swift, Imetolewa ...

Fearless imekuwa albamu ya kwanza kuuza kopi milioni kwa mwaka wa 2009,[2] kwa kuuza kopi 1,608,000+ tangu kuanzia tar. 1 ya mwezi wa Januari.[3] Albamu imetayarisha viabao vikali vinne ambavyo vyote vimeingia katika kumi bora - "Change" (#10), "Love Story" (#4), "Fearless" (#9) na "You Belong with Me" (#2). Albamu pia imetayarisha vibao vikali sita ambavyo navyo vimeingia kwenye 20 bora. Vibao hivyo ni pamoja na "You're Not Sorry" (#11) na "White Horse" (#13). Single ya tatu, "You Belong with Me", umekuwa wimbo mashuhuri sana katika kazi za Swift, kwa kupata mafanikio nchini na nje ya nchi.

Remove ads

Orodha ya nyimbo

  1. "Fearless" (Taylor Swift, Liz Rose, Hillary Lindsey) — 4:01
  2. "Fifteen" (Swift) — 4:54
  3. "Love Story" (Swift) — 3:55
  4. "Hey Stephen" (Swift, Artie Garr) — 4:14
  5. "White Horse" (Swift, Rose) — 3:54
  6. "You Belong with Me" (Swift, Rose) — 3:51
  7. "Breathe" (akimshirikisha Colbie Caillat*) (Swift, Colbie Caillat) — 4:23
  8. "Tell Me Why" (Swift, Rose) — 3:20
  9. "You're Not Sorry" (Swift) — 4:22
  10. "The Way I Loved You" (Swift, John Rich) — 4:04
  11. "Forever & Always" (Swift) — 3:45
  12. "The Best Day" (Swift) — 4:05
  13. "Change" (Swift) — 4:40

Meingine Yaliyo-ongezewa

  1. "Love Story Music Video
  2. "Change Music Video

Toleo Jipya la Nyimbo (Fearless Platinum Edition)[4]
Nyimbo 13 kutoka katika toleo la kawaida jumlisha:

  1. "Jump Then Fall"
  2. "Untouchable"
  3. "Forever & Always (Piano Version)"
  4. "Come In With the Rain"
  5. "SuperStar"
  6. "The Other Side of the Door"

| Nyimbo za ziada za kimataifa

  1. "Our Song" (International Version) — 3:24
  2. "Teardrops on My Guitar" (International Version) — 3:10
  3. "Should've Said No" (International Version) — 4:06

Nyimbo za ziada za Japani[5]

  1. "Beautiful Eyes" (Swift)
  2. "Picture to Burn" (Swift, Rose) — 2:57
  3. "I'm Only Me When I'm with You" (Swift, Robert Ellis Orrall, Angelo)
  4. "I Heart ?" (Swift)

iTunes ya UK na nyimbo zake za ziada[6]

  1. "Umbrella" (Live from SoHo) — 1:31
  2. "A Place In This World" (Live from SoHo) - 3:26
  3. Video Interview Piece — 2:59

Nyimbo za DVD

  1. "Exclusive! Watch the Recording Session of "Change"
  2. "Exclusive! In the Studio with Taylor Swift and Colbie Caillat Recording "Breathe"

|}

Remove ads

Nafasi za chati

Albamu ilishika chati za Billboard 200 katika Marekani kwa takriban wiki 44 (Novemba 2008 - 17 Septemba 2009). Katika wiki hizo mfululizo ilikaa katika nafasi ya 12, kwa sasa ipo nafasi ya #10.

Maelezo zaidi Chati (2008/2009), Nafasi iliyoshika ...
Remove ads

Historia ya kutolewa

Maelezo zaidi Nchi, Tarehe ...

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads