Filipo Smaldone
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Filipo Smaldone (Napoli, Campania, Italia, 27 Julai 1848 – Lecce, Puglia, 4 Juni 1923) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki aliyeshughulikia maisha yake yote malezi ya kiutu na ya Kikristo ya mayatima, mabubu na viziwi akaanzisha shirika la kitawa la Masista Wasalesiani wa Mioyo Mitakatifu [1].

Alikuwa pia na uwezo mkubwa wa kuhubiri na kutoa katekesi.
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 12 Mei 1996 halafu Papa Benedikto XVI alimtangaza mtakatifu tarehe 15 Oktoba 2006.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads