Firmino wa Uzes
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Firmino wa Uzes (480 - 553 hivi) alikuwa askofu wa tatu au wa nne wa Uzès nchini Ufaransa kuanzia mwaka 538.

Alikuwa mfuasi na rafiki wa Sesari wa Arles akafundisha sana ukweli kwa watu[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads