Florido
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Florido (Città di Castello, Umbria, Italia, 520 - Pietralunga, 13 Novemba 599) alikuwa askofu wa mji wake wa asili mwaka kuanzia mwaka 580 hadi kifo chake.
Papa Gregori I aliandika juu yake [1] kuthibitisha alikuwa na imani sahihi na maisha maadilifu sana[2].
Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 13 Novemba pamoja na ya padri wake Amansi [3].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads