Fortunati wa Montefalco
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Fortunati wa Montefalco alikuwa padri wa Kanisa Katoliki aliyeishi kati ya karne ya 4 na ya 5 katika Italia ya Kati, akifanya uchungaji kama paroko pamoja na kufanya kazi kwa bidii ili kujitegemea na kusaidia fukara wenzake, akitoa hivyo maisha yake kuhudumia wengine[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads