Fortunati wa Napoli

From Wikipedia, the free encyclopedia

Fortunati wa Napoli
Remove ads

Fortunati wa Napoli (alifariki karne ya 4) alikuwa askofu wa Napoli, Italia, labda katika miaka 347-359.

Thumb
Mt. Fortunati na maaskofu wengineo.

Anasifiwa kwa uaminifu wake kwa imani sahihi dhidi ya Uario [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Juni[2].

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads