Fransisko Coll

From Wikipedia, the free encyclopedia

Fransisko Coll
Remove ads

Fransisko Coll (Gombren, 18 Mei 1812Vic, Barcelona, 2 Aprili 1875) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki na mtawa wa Shirika la Wahubiri kutoka mkoa wa Catalonia, Hispania.

Thumb
Mt. Fransisko Coll.

Baada ya kufukuzwa utawani kinyume cha haki, alidumisha imara wito wake akihubiri jina la Yesu katika mkoa huo wote [1].

Alianzisha shirika la Masista Wadominiko wa Kupashwa Habari Bikira Maria.

Tarehe 29 Aprili 1979 alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mwenye heri, halafu Papa Benedikto XVI alimtangaza mtakatifu tarehe 11 Oktoba 2009.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Februari[2].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Loading content...

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads