Fronto na wenzake

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Fronto (alifariki karne ya 2 au ya 4) alikuwa Mkristo wa Misri ambaye alikwenda kuishi kimonaki jangwani pamoja na wenzake 70 akiwa abati wao [1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki kama watakatifu.

Sikukuu yao inaadhimishwa tarehe 14 Aprili[2].

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads