Fujo

From Wikipedia, the free encyclopedia

Fujo
Remove ads

Fujo (kwa Kiingereza: confusion) ni ghasia au machafuko katika jamii. Ni hali ambapo kuna vurugu au kutokuwa na utulivu katika mazingira fulani. Fujo hizo zinaweza kutokana na sababu mbalimbali kama migogoro, maandamano, au kutofautiana kwa maoni.

Thumb
Mtoto aliyevurugwa na kamera.

Vilevile fujo inaweza kuwepo akilini kwa sababu mbalimbali[1] ambazo zinachunguzwa na elimunafsia ili kumsaidia mhusika kutulia na kupanga vizuri maisha yake. Kiwango chake kinaweza kuwa tofauti sana, hadi kufikia kichaa[2][3].

Remove ads

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads