Fulbati
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Fulbati (952/970 - Chartres, Neustria, leo nchini Ufaransa, 10 Aprili 1028) alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 1006 hadi kifo chake [1]

Alikuwa akifundisha huko na kuandika barua na vitabu mbalimbali vilivyotufikia[2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu[3].
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Marejeo ya lugha nyingine
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads