Fulkrano
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Fulkrano (karne ya 10 - 13 Februari 1006 BK) alikuwa askofu wa Lodeve (leo nchini Ufaransa) kuanzia mwaka 949 hadi kifo chake[1].

Alijitahidi kudai waklero na watawa washike maadili yao, alistawisha liturujia na kusaidia fukara[2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Februari[3].
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads