Fursei abati
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Fursei abati (pia: Fursey, Fursa, Fursy, Forseus au Furseus; Connacht, Ireland, 597 hivi - Mézerolles, Ufaransa, 650 hivi) alikuwa mmonaki wa Ukristo wa Kiselti[1] aliyefanya kazi kubwa kueneza imani na umonaki kotekote katika visiwa vya Britania, hasa kati ya Waanglia[2][3].

Umaarufu wake ulipomvutia umati wa watu, alihamia Ufaransa alipoendelea kuinjilisha hadi kifo chake[4].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Januari[5].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Maandishi yake
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads