Gangolfi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Gangolfi (alifariki Avallon, Yonne, leo nchini Ufaransa, 11 Mei 760) alikuwa kabaila wa Burgundy[1] maarufu kwa imani na uadilifu hadi alipouawa na hawara wa mke wake[2].

Anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads