Bow Down

Albamu ya Westside Connection From Wikipedia, the free encyclopedia

Bow Down
Remove ads

Bow Down, ni jina la kutaja albamu ya kwanza kutoka katika kundi babu-kubwa la West coast hip hop/gangsta rap Westside Connection. Albamu ilitolewa mnamo tar. 22 Oktoba, 1996 kupitia studio ya Ice Cube Lench Mob/Priority Records. Albamu imeshirikisha tayarisho kutoka kwa mtayarishaji kama vile Bud'da, QDIII na Ice Cube na wengine wengi tu.

Ukweli wa haraka Studio album ya Westside Connection, Imetolewa ...

Albamu ilifika nafasi ya pili katika chati za Billboard 200 mnamo Novemba 9, 1996, nakala zilizoenda nchi za nje ni 145,000.[1] Imeenda kuuza nakala milioni 1.7, na kutunukiwa platinamu na RIAA mnamo Oktoba 1, 1997.[2] Nyimbo kama King of the Hill, Cross 'Em Out na Put a 'K, na Hoo Bangin' (WSCG Style) zote ni nyimbo za kuponda wengine na waliopondwa ni pamoja na Cypress Hill, Q-Tip na Common.

Remove ads

Mapokeo

Ukweli wa haraka Makadirio ya kitaalamu, Tahakiki za ushindi ...

Albamu imepokea tahakiki kadha wa kadha kutoka kwa watahakiki kadhaa na wapenzi wa muziki, kasoro kutoka kwa yule mtahakiki wa New York Robert Christgau.

Remove ads

Orodha ya nyimbo

Maelezo zaidi #, Jina ...
Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads