Q-Tip
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kamaal Ibn John Fareed (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Q-Tip, amezaliwa na jina la Jonathan Davis; 10 Aprili 1970) ni msanii wa muziki wa hip hop kutoka mjini St. Albans, Queens, New York huko Marekani. Ni mmoja kati ya wanachama matata kabisa wa kundi zima la hip hop la A Tribe Called Quest.
John Bush wa Allmusic anamwita "rapa/mtayarishaji mahiri katika historia nzima ya hip-hop,"[1] wakati wahariri wa About.com wamemweka katika orodha yao ya 50-Bora ya Watayarishaji wa Hip-Hop,[2] na vilevile kumweka katika orodha yao ya Ma-MC Bora-50 wa Kipindi Chetu (1987–2007).[3] Mwaka wa 2012, jarida la The Source wamemweka nafasi ya 20 katika orodha yao ya Washairi 50 Bora wa Muda Wote.[4]
Remove ads
Kazi
A Tribe Called Quest
Kazi za kujitegemea
Diskografia
- 1999: Amplified
- 2008: The Renaissance
- 2009: Kamaal/The Abstract
- 2013: The Last Zulu
Filmografia
- 1993: Poetic Justice
- 1999: Love Goggles
- 2000: Disappearing Acts
- 2001: Prison Song
- 2002: Brown Sugar
- 2004: She Hate Me
- 2008: Cadillac Records
- 2010: Holy Rollers
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads