Genadi wa Astorga
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Genadi wa Astorga, O.S.B. (kwa Kihispania: Genadio, Juanacio[1]; Leon, Hispania, 865 - Peñalba de Santiago, 936) alikuwa mmonaki Mbenedikto nchini Hispania akawa abati.

Alifanywa askofu wa Astorga miaka 899 - 920 akawa mshauri wa wafalme, lakini, akitamani kurudia umonaki, alijiuzulu akaishi kama mkaapweke hadi kifo chake[2][3].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
