Goar

From Wikipedia, the free encyclopedia

Goar
Remove ads

Goar (Aquitaine, leo nchini Ufaransa, 585 hivi - Oberwesel, leo nchini Ujerumani, 6 Julai 649[1]) alikuwa padri na mkaapweke ambaye, kwa msaada wa askofu wa Trier, alijenga hoteli na hospitali kwa ajili ya kuwahudumia kiroho na kimwili wapitanjia[2].

Thumb
Mt. Goar katika Nuremberg Chronicle, 1493 hivi.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 6 Julai[3].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads