Godfredo wa Cappenberg
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Godfredo wa Cappenberg (Cappenberg, 1096/1097 – Ilbenstadt, 13 Januari 1127) alikuwa mtemi nchini Ujerumani ambaye, baada ya kuguswa na mahubiri ya Norbert wa Xanten alianzisha monasteri katika ngome yake huko Ilbenstadt, dhidi ya shauri la masharifu, naye mwenyewe hatimaye akawa kanoni wa shirika la Premontree na kushughulikia sana wahitaji na wagonjwa[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Benedikto XIII mwaka 1728.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Januari[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads