Golveni

From Wikipedia, the free encyclopedia

Golveni
Remove ads

Golveni (kwa Kifaransa: Golven, Golwen, Goulven; karne ya 6 - Saint-Didier, leo nchini Ufaransa, 616 hivi) alikuwa mkaapweke, halafu askofu wa Saint-Pol-de-Léon, katika mkoa wa Bretagne [1].

Thumb
Mt. Golveni.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Julai[2].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads