Gondulfi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Gondulfi
Remove ads

Gondulfi (kwa Kilatini: Gondulfus, Gundulphus, labda pia Bethulphus; karne ya 6 - karne ya 7) alikuwa askofu wa 22 wa jimbo la Tongeren-Maastricht, leo kati ya Ubelgiji na Uholanzi.

Thumb
Wat. Monulfi na Gondulfi katika dirisha la kioo cha rangi, Basilika la Bibi Yetu (Maastricht).

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Julai[1].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads