Gone Too Soon
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
"Gone Too Soon" ni wimbo hasa ulioimbwa na mwanamuziki Michael Jackson. Ni wimbo wa tisa kuchukuliwa kutoka kwenye albamu yake ya mwaka wa 1991, Dangerous. Ilishika nafasi ya #33 kwenye chati za UK Singles Chart mnamo mwezi wa Desemba 1993.
Wimbo huu alimwimbia kijana mmoja aliyeathirika na kufa na ugonjwa wa Ukimwi, Ryan White, ambaye Jackson alikuwa na urafiki naye kabla ya kifo chake.
Remove ads
Orodha ya Nyimbo
- "Gone Too Soon" – 3:21
- "Human Nature" – 4:05
- "She's Out of My Life" – 3:38
- "Thriller" – 5:57
Viungo vya Nje
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gone Too Soon kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads