Will You Be There
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
"Will You Be There" ni wimbo wa Michael Jackson ambao ulitolewa kama single mnamo mwaka wa 1993. Kibao hiki kimetolewa kutoka kwenye albamu yake ya mwaka wa 1991, Dangerous na pia umeonekana kama kibwagizo kwenye filamu ya Free Willy.
Remove ads
Orodha ya Nyimbo
- "Will You Be There" (Edit) – 5:22
- "Man in the Mirror" – 5:15
- "Girlfriend" – 3:04
- "Will You Be There" (Album version) – 7:40
Mamixi
- Album version – 7:40
- Edit – 5:22
- Radio edit – 3:39
- Instrumental - 3:25[2]
Chati
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads