Gudene

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Gudene (pia: Gidina, Giddina, Guddenas, Guddentes, Guddina, Giddinus, Gaudentes; alifariki Karthago, leo nchini Tunisia, 27 Juni 203) alikuwa mwanamke Mkristo aliyeteswa kikatili kwa namna mbalimbali na hatimaye kuuawa kwa upanga kwa ajili ya imani yake wakati wa dhuluma ya kaisari Septimius Severus[1][2][3].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Juni[4][5].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads