Guglielmo Marconi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Guglielmo Marconi (25 Aprili 1874 – 20 Julai 1937) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Italia. Baada ya uchunguzi mwingi, alivumbua njia ya mawasiliano bila waya.

Mwaka wa 1909, pamoja na Ferdinand Braun alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia. Marconi ametajwa mara nyingi kama mvumbuzi wa redio pamoja na Nikola Tesla na Alexander Popov.
![]() |
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Guglielmo Marconi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads