Hatari!
From Wikipedia, the free encyclopedia
Hatari! ni filamu ya Kimarekani ya vichekesho na kimapenzi iliyoongozwa na Howard Hawks mnamo mwaka 1962 na huonyesha kundi la wawindaji wataalamu ndani ya Afrika. [1]. Filamu hiyo ilitengenezwa kaskazini mwa Tanganyika (kwa sasa Tanzania) yenye mwonekano na mandhari ya Mlima Meru.
Wahusika
- Wahusika wakuu
- John Wayne kama Sean Mercer
- Hardy Krüger kama Kurt Müller
- Elsa Martinelli kama Anna Maria "Dallas" D'Alessandro
- Red Buttons kama "Pockets"
- Gérard Blain kama Charles "Chips" Maurey
- Bruce Cabot kama Little Wolf ("The Indian")
- Michèle Girardon kama Brandy de la Court
- Valentin de Vargas kama Luis Francisco Garcia Lopez
- Eduard Franz kama Dr. Sanderson
- Queenie Leonard kama Nesi (kipande kimefutwa)
- Wahusika wengine
- Jon Chevron
- Sam Harris
- Cathy Lewis
- Henry Scott as Sikh Clerk
- Emmett Smith kama Muhudumu wa Bar
- Judy the Chimp
- Jack Williams
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.