Helena wa Uswidi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Helena wa Uswidi (kwa Kiswidi: Elin av Skövde; aliuawa Skövde, Västergötland, Uswidi, 31 Julai 1160) alikuwa mjane wa ukoo bora wa Uswidi ambaye aliuawa bila haki.
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini kwa kibali cha Papa Aleksanda III (1164)[1][2].
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads