Henri wa Kongo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Henri wa Kongo (pia: Henrique Kinu a Mvemba 1495 - 1531) alikuwa askofu wa kwanza kutoka Afrika kusini kwa ikweta kuanzia mwaka 1518 [1].
Mtoto wa Manikongo wa 6 wa Ufalme wa Kongo, Afonso I aliyejitahidi sana kufanya ufalme wote ufuate imani na maadili ya Kanisa Katoliki, alitumwa Coimbra (Ureno) kwa masomo [2]. Mwaka 1521 alirudi kwao na kuteuliwa gavana wa Mpangu, akifanya bidii katika uinjilishaji wa nchi hadi alipofariki dunia [3].
Remove ads
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads