Hilari wa Carcassonne
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Hilari wa Carcassonne (alifariki karne ya 6) alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo wakati Wavisigoti walieneza Uario katika eneo hilo waliloliteka[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads