Hilduadi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Hilduadi (alifariki katika eneo la Ubelgiji wa leo, 816 hivi) alikuwa askofu na mwanzilishi wa monasteri ya Dikkelvenne [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Septemba [2].
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads